Ezekiel 38:11 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
‘Nitakwenda kuishambulia nchi isiyo na kuta, nchi ambako wananchi wake wanaishi kwa amani. Wote wanakaa katika miji isiyo na kuta; hawana makomeo wala malango.’
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Utasema, “Nitapigana vita na nchi ambayo vijiji vyake havina kuna. Nitawashambulia watu wanaoishi kwa amani na wasiotarajia vita: wote wanaishi bila kuta na bila malango na makomeo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
nawe utasema, Nitapanda juu niiendee nchi yenye vijiji visivyo na maboma; nitawaendea watu wanaostarehe, wanaokaa salama, wote wakikaa pasipo kuta, ambao hawana makomeo wala malango;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
‘Nitakwenda kuishambulia nchi isiyo na kuta, nchi ambako wananchi wake wanaishi kwa amani. Wote wanakaa katika miji isiyo na kuta; hawana makomeo wala malango.’
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Utasema, “Nitapigana vita na nchi ambayo vijiji vyake havina maboma, nitawashambulia watu wanaoishi kwa amani na wasiotarajia vita, wote wanaishi bila maboma na bila malango na makomeo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Utasema, “Nitapigana vita na nchi ambayo vijiji vyake havina maboma. Nitawashambulia watu wanaoishi kwa amani na wasiotarajia vita: wote wanaishi bila maboma na bila malango na makomeo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
nawe utasema, Nitapanda juu niiendee nchi yenye vijiji visivyo na maboma; nitawaendea watu wanaostarehe, wanaokaa salama, wote wakikaa pasipo kuta, ambao hawana makomeo wala malango;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
‘Nitakwenda kuishambulia nchi isiyo na kuta, nchi ambako wananchi wake wanaishi kwa amani. Wote wanakaa katika miji isiyo na kuta; hawana makomeo wala malango.’
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, utakaposema: Nitapanda kwenda katika nchi iliyo wazi, nitaingia kwenye watu wanaotulia, wanaokaa salama; wote wanakaa pasipo boma, hawajui makomeo wala milango.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
nawe utasema, Nitapanda juu niiendee nchi yenye vijiji visivyo na maboma; nitawaendea watu wanaostarehe, wanaokaa salama, wote wakikaa pasipo kuta, ambao hawana makomeo wala malango;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nitakwenda kuishambulia inchi isiyokuwa na kuta, inchi ambako wanainchi wake wanaishi kwa amani. Wote wanakaa katika miji isiyokuwa na kuta; hawana vifungio wala milango.