Ezekiel 38:21 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nami nitasababisha kila namna ya tisho kumkabili Gogu. Mimi Bwana Mwenyezi-Mungu nimesema. Wanajeshi wake wataanza kushambuliana wenyewe kwa mapanga yao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nitaita upanga wa vita dhidi ya Gogu juu ya milima yangu yote, asema Bwana Mungu Mwenyezi. Upanga wa kila mtu utakuwa dhidi ya ndugu yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nami nitaita upanga, uje juu yake katika milima yangu yote, asema Bwana MUNGU; nao upanga wa kila mtu utakuwa juu ya ndugu yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nami nitasababisha kila namna ya tisho kumkabili Gogu. Mimi Bwana Mwenyezi-Mungu nimesema. Wanajeshi wake wataanza kushambuliana wenyewe kwa mapanga yao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nitaita upanga vita dhidi ya Gogu juu ya milima yangu yote, asema BWANA Mwenyezi. Upanga wa kila mtu utakuwa dhidi ya ndugu yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nitaita upanga vita dhidi ya Gogu juu ya milima yangu yote, asema bwana Mwenyezi. Upanga wa kila mtu utakuwa dhidi ya ndugu yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nami nitaita upanga, uje juu yake katika milima yangu yote, asema Bwana MUNGU; nao upanga wa kila mtu utakuwa juu ya ndugu yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nami nitasababisha kila namna ya tisho kumkabili Gogu. Mimi Bwana Mwenyezi-Mungu nimesema. Wanajeshi wake wataanza kushambuliana wenyewe kwa mapanga yao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha nitaziita panga katika milima yangu yote, zije kumpiga; ndivyo, asemavyo Bwana Mungu; ndipo, upanga wa kila mtu utakapompiga ndugu yake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nami nitaita upanga, uje juu yake katika milima yangu yote, asema Bwana MUNGU; nao upanga wa kila mtu utakuwa juu ya ndugu yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nami nitasababisha kila namna ya kitisho juu ya Gogi. –Ni ujumbe wa Bwana wetu Yawe.– Waaskari wake wataanza kushambuliana wenyewe kwa mapanga yao.