Ezekiel 38:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Toa unabii juu yake na kumwambia kuwa mimi Bwana Mwenyezi-Mungu nasema hivi: Mimi nitapambana nawe ewe Gogu mtawala wa Mesheki na Tubali.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
na useme: ‘Hili ndilo asemalo Bwana Mungu Mwenyezi: Ee Gogu, mimi ni kinyume nawe, mtawala mkuu wa Roshi, Mesheki na Tubali.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
useme, Bwana MUNGU asema hivi; Tazama, mimi ni juu yako, Ewe Gogu, mkuu wa Roshi, na Mesheki, na Tubali;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Toa unabii juu yake na kumwambia kuwa mimi Bwana Mwenyezi-Mungu nasema hivi: Mimi nitapambana nawe ewe Gogu mtawala wa Mesheki na Tubali.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
na useme: ‘Hili ndilo BWANA Mwenyezi asemalo: Ee Gogu, mimi ni kinyume nawe, mtawala mkuu wa Roshi, Mesheki na Tubali.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
na useme: ‘Hili ndilo bwana Mwenyezi asemalo: Ee Gogu, mimi ni kinyume nawe, mtawala mkuu wa Roshi, Mesheki na Tubali.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
useme, Bwana MUNGU asema hivi; Tazama, mimi ni juu yako, Ewe Gogu, mkuu wa Roshi, na Mesheki, na Tubali;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Toa unabii juu yake na kumwambia kuwa mimi Bwana Mwenyezi-Mungu nasema hivi: Mimi nitapambana nawe ewe Gogu mtawala wa Mesheki na Tubali.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
ukisema: Hivi ndivyo, Bwana Mungu anavyosema: Utaniona, nikikujia wewe Gogi uliye mkuu wa Rosi na wa Meseki na wa Tubali.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
useme, Bwana MUNGU asema hivi; Tazama, mimi ni juu yako, Ewe Gogu, mkuu wa Roshi, na Mesheki, na Tubali;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Toa unabii juu yake na kumwambia kwamba: Bwana wetu Yawe anasema hivi: Mimi nitapingana nawe, ewe Gogi, mutawala wa Meseki na Tubali.