Ezekiel 38:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wanajeshi kutoka Persia, Kushi na Puti wako pamoja nao; wote wana ngao na kofia za chuma.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Uajemi, Kushi na Putu watakuwa pamoja nao, wote wakiwa na ngao na chapeo,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Uajemi, na Kushi, na Putu, pamoja nao; wote wana ngao na chapeo;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wanajeshi kutoka Persia, Kushi na Puti wako pamoja nao; wote wana ngao na kofia za chuma.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Uajemi, Kushi na Putu watakuwa pamoja nao, wote wakiwa na ngao na kofia za chuma,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Uajemi, Kushi na Putu watakuwa pamoja nao, wote wakiwa na ngao na kofia za chuma,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Uajemi, na Kushi, na Putu, pamoja nao; wote wana ngao na chapeo;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wanajeshi kutoka Persia, Kushi na Puti wako pamoja nao; wote wana ngao na kofia za chuma.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwako unao Wapersia na Wanubi na Waputi, wao wote ni wenye ngao na kofia za vita.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Uajemi, na Kushi, na Putu, pamoja nao; wote wana ngao na chapeo;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kati yao kuna waaskari kutoka Persia, Etiopia na Puti; wote wana ngao na kofia za chuma.