Ezekiel 38:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Jitayarishe, ukae wewe mwenyewe na jeshi lako lote pamoja na wengine wote ulio nao, ukawalinde.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“ ‘Jiandae, uwe tayari, wewe na makundi yako yote waliokusanyika pamoja nawe, nawe waamrishe.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ujiweke tayari, naam, jiweke tayari, wewe na majeshi yako yote waliokukusanyikia, nawe uwe jemadari wao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Jitayarishe, ukae wewe mwenyewe na jeshi lako lote pamoja na wengine wote ulio nao, ukawalinde.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“ ‘Jiandae, uwe tayari, wewe na makundi yako yote ya wajeuri yaliyokusanyika pamoja nawe, nawe waamrishe.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“ ‘Jiandae, uwe tayari, wewe na makundi yako yote ya wajeuri yaliyokusanyika pamoja nawe, nawe waamrishe.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ujiweke tayari, naam, jiweke tayari, wewe na majeshi yako yote waliokuzunguka, nawe uwe jemadari wao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Jitayarishe, ukae wewe mwenyewe na jeshi lako lote pamoja na wengine wote ulio nao, ukawalinde.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Jipangeni na kujiweka tayari, wewe na mikutano yako yote iliyokusanyika kwako, nawe uwe mlinzi wao!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ujiweke tayari, naam, jiweke tayari, wewe na majeshi yako yote waliokukusanyikia, nawe uwe jemadari wao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ujitayarishe, uikae wewe mwenyewe na kundi lako lote pamoja na wengine wote unaokuwa nao, uwalinde.