Ezekiel 39:12 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa kuisafisha nchi Waisraeli watatumia muda wa miezi saba kuzika maiti hizo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“ ‘Kwa miezi saba nyumba ya Israeli itakuwa ikiwazika ili kuisafisha nchi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na kwa muda wa miezi saba nyumba ya Israeli watakuwa wakiwazika, wapate kuisafisha nchi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa kuisafisha nchi Waisraeli watatumia muda wa miezi saba kuzika maiti hizo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“ ‘Kwa miezi saba nyumba ya Israeli itakuwa ikiwazika ili kuisafisha nchi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“ ‘Kwa miezi saba nyumba ya Israeli itakuwa ikiwazika ili kuisafisha nchi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na kwa muda wa miezi saba, nyumba ya Israeli watakuwa wakiwazika, wapate kuitakasa nchi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa kuisafisha nchi Waisraeli watatumia muda wa miezi saba kuzika maiti hizo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao wa mlango wa Isiraeli watawazika muda wa miezi saba, kusudi waondoe uchafu katika nchi hiyo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na kwa muda wa miezi saba nyumba ya Israeli watakuwa wakiwazika, wapate kuisafisha nchi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa kuisafisha inchi, Waisraeli watatumia muda wa miezi saba kuzika maiti hizo.