Ezekiel 39:18 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watakula nyama ya mashujaa, watakunywa damu ya wakuu wa dunia watakaochinjwa kama kondoo madume au wanakondoo, mbuzi au mafahali wanono wa Bashani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mtakula nyama za watu mashujaa na kunywa damu za wakuu wa dunia kana kwamba ni za kondoo dume na kondoo wake, mbuzi na mafahali, wote walionona kutoka Bashani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mtakula nyama yao walio hodari, na kunywa damu ya wakuu wa dunia, ya kondoo waume na ya wana-kondoo, na ya mbuzi, na ya ng'ombe, wote na wanono wa Bashani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watakula nyama ya mashujaa, watakunywa damu ya wakuu wa dunia watakaochinjwa kama kondoo madume au wanakondoo, mbuzi au mafahali wanono wa Bashani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mtakula nyama za watu mashujaa na kunywa damu za wakuu wa dunia kana kwamba ni za kondoo waume na kondoo wake, mbuzi na mafahali, wote walionona kutoka Bashani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mtakula nyama za watu mashujaa na kunywa damu za wakuu wa dunia kana kwamba ni za kondoo dume na kondoo wake, mbuzi na mafahali, wote walionona kutoka Bashani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mtakula nyama yao walio hodari, na kunywa damu ya wakuu wa dunia, ya kondoo dume na ya wana-kondoo, na ya mbuzi, na ya ng'ombe, wote na wanono wa Bashani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watakula nyama ya mashujaa, watakunywa damu ya wakuu wa dunia watakaochinjwa kama kondoo madume au wanakondoo, mbuzi au mafahali wanono wa Bashani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mtakula nyama za wapiga vita wenye nguvu, mtakunywa damu za wakuu wa nchi, ndio madume ya kondoo na wana kondoo na mbuzi na ng'ombe, wote ni manono ya Basani.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mtakula nyama yao walio hodari, na kunywa damu ya wakuu wa dunia, ya kondoo waume na ya wana-kondoo, na ya mbuzi, na ya ng’ombe, wote na wanono wa Bashani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watakula nyama ya mashujaa, watakunywa damu ya wakubwa wa dunia watakaochinjwa kama kondoo dume au wana-kondoo, mabeberu au ngombe dume wanono wa Basani.