Ezekiel 39:19 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Katika karamu hiyo ninayowafanyia watakula mafuta na kushiba. Watakunywa damu na kulewa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Katika dhabihu ninayoandaa kwa ajili yenu, mtakula mafuta hadi mshibe, na kunywa damu hadi mlewe.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nanyi mtakula mafuta na kushiba, mtakunywa damu na kulewa, na sadaka yangu niliyoifanya kwa ajili yenu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Katika karamu hiyo ninayowafanyia watakula mafuta na kushiba. Watakunywa damu na kulewa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Katika dhabihu ninayoandaa kwa ajili yenu, mtakula mafuta mpaka mkinai na kunywa damu mpaka mlewe.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Katika dhabihu ninayoandaa kwa ajili yenu, mtakula mafuta mpaka mkinai na kunywa damu mpaka mlewe.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nanyi mtakula mafuta na kushiba, mtakunywa damu na kulewa, katika karamu yangu ya kafara ninayoiandaa kwa ajili yenu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Katika karamu hiyo ninayowafanyia watakula mafuta na kushiba. Watakunywa damu na kulewa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mtakula mafuta, mshibe, mtakunywa damu, mlewe kwa hizo ng'ombe zangu za tambiko, nitakazowachinjia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nanyi mtakula mafuta na kushiba, mtakunywa damu na kulewa, na sadaka yangu niliyoifanya kwa ajili yenu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Katika karamu hiyo niliyowafanyia watakula mafuta na kushiba. Watakunywa damu na kulewa.