Ezekiel 39:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nitakugeuza na kukuelekeza upande mwingine na kukuongoza kutoka mbali kaskazini uende kushambulia milima ya Israeli.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nitakugeuza kuelekea ulikotoka na kukuburuta. Nitakuleta kutoka kaskazini ya mbali na kukupeleka wewe dhidi ya milima ya Israeli.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
nami nitakugeuza na kukuongoza, nami nitakupandisha toka pande za mwisho za kaskazini; nami nitakuleta juu ya milima ya Israeli;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nitakugeuza na kukuelekeza upande mwingine na kukuongoza kutoka mbali kaskazini uende kushambulia milima ya Israeli.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nitakugeuza kuelekea ulikotoka na kukuburuta. Nitakuleta kutoka kaskazini ya mbali na kukupeleka wewe dhidi ya milima ya Israeli.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nitakugeuza kuelekea ulikotoka na kukuburuta. Nitakuleta kutoka kaskazini ya mbali na kukupeleka wewe dhidi ya milima ya Israeli.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
nami nitakugeuza na kukuongoza, nami nitakupandisha toka pande za mwisho za kaskazini; nami nitakuleta juu ya milima ya Israeli;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nitakugeuza na kukuelekeza upande mwingine na kukuongoza kutoka mbali kaskazini uende kushambulia milima ya Israeli.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nitakugeuza na kukushika kwa kamba, nikutoe huko kaskazini mbali na kukupandisha, uende, mpaka nikufikishe kwenye milima ya Isiraeli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
nami nitakugeuza na kukuongoza, nami nitakupandisha toka pande za mwisho za kaskazini; nami nitakuleta juu ya milima ya Israeli;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nitakugeuza na kukuelekezea upande mwingine na kukuongoza kutoka mbali upande wa kaskazini uende kushambulia milima ya Israeli.