Ezekiel 39:20 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mezani pangu, watashibishwa kwa farasi, wapandafarasi, mashujaa na watu wote wa vita. Mimi Bwana Mwenyezi-Mungu nimesema.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwenye meza yangu watajishibisha kwa farasi na wapanda farasi, watu mashujaa na askari wa kila aina,’ asema Bwana Mungu Mwenyezi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nanyi mtashibishwa mezani pangu kwa farasi, na magari ya vita, na mashujaa, na watu wote wa vita, asema Bwana MUNGU.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mezani pangu, watashibishwa kwa farasi, wapandafarasi, mashujaa na watu wote wa vita. Mimi Bwana Mwenyezi-Mungu nimesema.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwenye meza yangu watajishibisha kwa farasi na wapanda farasi, watu mashujaa na maaskari wa kila aina,’ asema BWANA Mwenyezi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwenye meza yangu watajishibisha kwa farasi na wapanda farasi, watu mashujaa na askari wa kila aina,’ asema bwana Mwenyezi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nanyi mtashibishwa mezani pangu kwa farasi, na magari ya vita, na mashujaa, na watu wote wa vita, asema Bwana MUNGU.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mezani pangu, watashibishwa kwa farasi, wapandafarasi, mashujaa na watu wote wa vita. Mimi Bwana Mwenyezi-Mungu nimesema.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mtashiba mezani pangu kwa nyama za farasi nazo zao waliowapanda, kwa nyama za wapiga vita wenye nguvu nazo zao wote waliojiendea tu kupigana; ndivyo, asemavyo Bwana Mungu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nanyi mtashibishwa mezani pangu kwa farasi, na magari ya vita, na mashujaa, na watu wote wa vita, asema Bwana MUNGU.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwenye meza yangu, watashibishwa kwa farasi, waaskari wapanda-farasi, mashujaa na watu wote wa vita. –Ni ujumbe wa Bwana wetu Yawe.