Ezekiel 39:22 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Waisraeli watajua kuwa mimi ni Mwenyezi-Mungu, Mungu wao, tangu siku hiyo na baadaye.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kuanzia siku ile na kuendelea nyumba ya Israeli itajua kuwa Mimi ndimi Mwenyezi Mungu, Mungu wao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi, nyumba ya Israeli watajua ya kuwa mimi ndimi Bwana, Mungu wao, tangu siku hiyo na baadaye.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Waisraeli watajua kuwa mimi ni Mwenyezi-Mungu, Mungu wao, tangu siku hiyo na baadaye.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kuanzia siku ile na kuendelea nyumba ya Israeli itajua kuwa Mimi ndimi BWANA, Mungu wao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kuanzia siku ile na kuendelea nyumba ya Israeli itajua kuwa Mimi ndimi bwana, Mungu wao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi, nyumba ya Israeli watajua ya kuwa mimi ndimi BWANA, Mungu wao, tangu siku hiyo na baadaye.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Waisraeli watajua kuwa mimi ni Mwenyezi-Mungu, Mungu wao, tangu siku hiyo na baadaye.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, walio mlango wa Isiraeli watakapojua, ya kuwa mimi ni Bwana Mungu wao, tangu siku ile hata siku zitakazokuja.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi, nyumba ya Israeli watajua ya kuwa mimi ndimi BWANA, Mungu wao, tangu siku hiyo na baadaye.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Waisraeli watajua kwamba mimi ni Yawe, Mungu wao, tangu siku hiyo na itakayokuja.