Ezekiel 39:26 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watakapokuwa wanaishi kwa usalama katika nchi yao, bila ya kutishwa, watasahau aibu yao na uasi walionitenda.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wataisahau aibu yao na jinsi walivyoonesha kutokuwa waaminifu kwangu mimi wakati waliishi salama katika nchi yao, bila kuwa na mtu yeyote wa kuwatia hofu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nao watachukua aibu yao, na makosa yao yote waliyoniasi, watakapokaa salama katika nchi yao wenyewe, wala hapana mtu atakayewatia hofu;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watakapokuwa wanaishi kwa usalama katika nchi yao, bila ya kutishwa, watasahau aibu yao na uasi walionitenda.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wataisahau aibu yao na jinsi walivyoonyesha kutokuwa waaminifu kwangu wakati walipoishi kwa salama katika nchi yao, bila kuwa na mtu ye yote wa kuwatia hofu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wataisahau aibu yao na jinsi walivyoonyesha kutokuwa waaminifu kwangu mimi wakati waliishi salama katika nchi yao, bila kuwa na mtu yeyote wa kuwatia hofu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nao watachukua aibu yao, na makosa yao yote waliyoniasi, watakapokaa salama katika nchi yao wenyewe, wala hapana mtu atakayewatia hofu;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watakapokuwa wanaishi kwa usalama katika nchi yao, bila ya kutishwa, watasahau aibu yao na uasi walionitenda.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao watashikwa na soni iwapasayo kwa hivyo, walivyoyavunja maagano yangu yote, watakapokaa salama katika nchi yao, kwani hatakuwako atakayewastusha.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nao watachukua aibu yao, na makosa yao yote waliyoniasi, watakapokaa salama katika nchi yao wenyewe, wala hapana mtu atakayewatia hofu;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watakapokuwa wanaishi kwa usalama katika inchi yao, bila kutishwa, watasahau haya yao na uasi walionitendea.