Ezekiel 39:27 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wakati huo, nitakuwa nimewarudisha kutoka kwa mataifa na kuwakusanya kutoka nchi za maadui zao na kudhihirisha utakatifu wangu mbele ya mataifa mengi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nitakapokuwa nimewarudisha kutoka mataifa na kuwakusanya kutoka nchi za adui zao, mimi nitajionesha kuwa mtakatifu kupitia kwao machoni mwa mataifa mengi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
nitakapokuwa nimewaleta tena kutoka kabila za watu, na kuwakusanya kwa kuwatoa katika nchi za adui zao, na kutakaswa kati yao mbele ya macho ya mataifa mengi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wakati huo, nitakuwa nimewarudisha kutoka kwa mataifa na kuwakusanya kutoka nchi za maadui zao na kudhihirisha utakatifu wangu mbele ya mataifa mengi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nitakapokuwa nimewarudisha kutoka katika mataifa na kuwakusanya kutoka katika nchi za adui zao, mimi nitajionyesha kuwa mtakatifu kwa kupitia kwao machoni mwa mataifa mengi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nitakapokuwa nimewarudisha kutoka mataifa na kuwakusanya kutoka nchi za adui zao, mimi nitajionyesha kuwa mtakatifu kwa kupitia kwao machoni mwa mataifa mengi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
nitakapokuwa nimewaleta tena kutoka makabila ya watu, na kuwakusanya kwa kuwatoa katika nchi za adui zao, na kutakaswa kati yao mbele ya macho ya mataifa mengi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wakati huo, nitakuwa nimewarudisha kutoka kwa mataifa na kuwakusanya kutoka nchi za maadui zao na kudhihirisha utakatifu wangu mbele ya mataifa mengi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nitakapowarudisha kwao na kuwatoa kwenye makabila mengine na kuwakusanya, wazitoke nchi za adui zao, ndipo, nitakapojitokeza kwao kuwa Mtakatifu machoni pa wamizimu wengi;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
nitakapokuwa nimewaleta tena kutoka kabila za watu, na kuwakusanya kwa kuwatoa katika nchi za adui zao, na kutakaswa kati yao mbele ya macho ya mataifa mengi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakati huo, nitakuwa nimewarudisha kutoka kwa mataifa na kuwakusanya kutoka inchi za waadui zao na kuonyesha utakatifu wangu mbele ya mataifa mengi.