Ezekiel 39:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha nitauvunja upinde wako katika mkono wako wa kushoto, na mishale yako katika mkono wako wa kulia nitaiangusha chini.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha nitaupiga upinde wako kutoka mkono wako wa kushoto na kuifanya mishale ianguke kutoka mkono wako wa kuume.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
nami nitaupiga upinde wako, utoke katika mkono wako wa kushoto, na mishale yako nitaiangusha, itoke katika mkono wako wa kulia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha nitauvunja upinde wako katika mkono wako wa kushoto, na mishale yako katika mkono wako wa kulia nitaiangusha chini.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha nitaupiga upindi wako kutoka mkono wako wa kushoto na kuifanya mishale ianguke kutoka mkono wako wa kuume.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha nitaupiga upinde wako kutoka mkono wako wa kushoto na kuifanya mishale ianguke kutoka mkono wako wa kuume.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
nami nitaupiga upinde wako, utoke katika mkono wako wa kushoto, na mishale yako nitaiangusha, itoke katika mkono wako wa kulia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha nitauvunja upinde wako katika mkono wako wa kushoto, na mishale yako katika mkono wako wa kulia nitaiangusha chini.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nitakupiga, upindi wako uanguke mkononi mwako mwa kushoto, nayo mishale yako nitaiangusha mkononi mwako mwa kuume.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
nami nitaupiga upinde wako, utoke katika mkono wako wa kushoto, na mishale yako nitaiangusha, itoke katika mkono wako wa kulia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha nitauvunja upinde wako katika mukono wako wa kushoto, na mishale yako katika mukono wako wa kuume nitaiangusha chini.