Ezekiel 39:8 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Siku ile ninayosema juu yake kwa hakika inakuja. Mimi Bwana Mwenyezi-Mungu nimesema.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hili jambo linakuja! Hakika litatendeka, asema Bwana Mungu Mwenyezi. Hii ndiyo siku ile niliyosema habari zake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tazama, linakuja, nalo litatendeka, asema Bwana MUNGU; hii ndiyo siku ile niliyoinena.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Siku ile ninayosema juu yake kwa hakika inakuja. Mimi Bwana Mwenyezi-Mungu nimesema.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hili jambo linakuja! Hakika litatokea, asema BWANA Mwenyezi. Hii ndiyo siku ile niliyosema habari zake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hili jambo linakuja! Hakika litatokea, asema bwana Mwenyezi. Hii ndiyo siku ile niliyosema habari zake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tazama, linakuja, nalo litatendeka, asema Bwana MUNGU; hii ndiyo siku ile niliyoinena.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Siku ile ninayosema juu yake kwa hakika inakuja. Mimi Bwana Mwenyezi-Mungu nimesema.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndivyo, asemavyo Bwana: Hayo mtayaona, yakija kutimia siku ileile, niliyoisema.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tazama, linakuja, nalo litatendeka, asema Bwana MUNGU; hii ndiyo siku ile niliyoinena.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Siku ile ninayosema juu yake, kwa hakika inakuja. –Ni ujumbe wa Bwana wetu Yawe.–