Ezekiel 4:10 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Chakula utakachokula lazima kipimwe, nacho kitakuwa gramu 230 kwa siku; nawe utakula mara moja tu kwa siku.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Pima shekeli ishirini za chakula utakachokula kwa kila siku, nawe utakula kwa wakati uliopangwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na chakula chako utakachokula kitapimwa, shekeli ishirini kwa siku moja; utakila kwa wakati wake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Chakula utakachokula lazima kipimwe, nacho kitakuwa gramu 230 kwa siku; nawe utakula mara moja tu kwa siku.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Pima shekeli ishirini za chakula utakachokula kwa kila siku, nawe utakula kwa wakati uliopangwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Pima shekeli ishirini za chakula utakachokula kwa kila siku, nawe utakula kwa wakati uliopangwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na chakula chako utakachokula kitapimwa, shekeli ishirini kwa siku moja; utakila kwa wakati wake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Chakula utakachokula lazima kipimwe, nacho kitakuwa gramu 230 kwa siku; nawe utakula mara moja tu kwa siku.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hicho chakula chako, utakachokila, utapimiwa kwa mizani kila siku ratli moja kaso robo muda kwa muda.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na chakula chako utakachokula kitapimwa, shekeli ishirini kwa siku moja; utakila kwa wakati wake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Chakula utakachokula kitapimwa, nacho kitakuwa grama mia mbili makumi tatu kwa siku; nawe utakula mara moja tu kwa siku.