Ezekiel 4:11 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maji nayo utakunywa kwa kipimo: Vikombe viwili, mara moja kwa siku.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Pia pima maji sehemu ya sita ya hini, nawe utakunywa kwa wakati uliopangwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nawe utakunywa maji kwa kuyapima, sehemu ya sita ya hini; utayanywa kwa wakati wake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maji nayo utakunywa kwa kipimo: vikombe viwili, mara moja kwa siku.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Pia pima maji moja ya sita ya hini, nawe utakunywa kwa wakati uliopangwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Pia pima maji moja ya sita ya hini, nawe utakunywa kwa wakati uliopangwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nawe utakunywa maji kwa kuyapima, sehemu ya sita ya hini; utayanywa kwa wakati wake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maji nayo utakunywa kwa kipimo: Vikombe viwili, mara moja kwa siku.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Maji nayo utakunywa kwa kupimiwa, nusu kibaba kila siku moja, nayo utayanywa muda kwa muda.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nawe utakunywa maji kwa kuyapima, sehemu ya sita ya hini; utayanywa kwa wakati wake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Maji nayo utayakunywa kwa kipimo: vikombe viwili, mara moja kwa siku.