Ezekiel 4:12 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Utachukua mavi ya mtu, uwashe moto, uoke mkate, na kuula mbele ya watu.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nawe utakula chakula vile ungekula mkate wa shayiri; uoke mkate mbele ya macho ya watu, ukitumia moto wa kinyesi cha mwanadamu.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nawe utakila kama mkate wa shayiri, nawe utakioka mbele ya macho yao juu ya mashonde yatokayo katika mwanadamu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Utachukua mavi ya mtu, uwashe moto, uoke mkate, na kuula mbele ya watu.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nawe utakula chakula kama vile ambavyo ungekula mkate wa shayiri, uoke mkate mbele ya macho ya watu, ukitumia kinyesi cha mwanadamu.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nawe utakula chakula kama vile ambavyo ungekula mkate wa shayiri, uoke mkate mbele ya macho ya watu, ukitumia kinyesi cha mwanadamu.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nawe utakila kama mkate wa shayiri, nawe utakioka mbele ya macho yao juu ya mashonde yatokayo katika mwanadamu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Utachukua mavi ya mtu, uwashe moto, uoke mkate, na kuula mbele ya watu.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hiyo mikate utaila, ikitengenezwa kama mikate ya mofa ya mawele, nawe sharti uichome kwa mavi ya choo cha mtu machoni pao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nawe utakila kama mkate wa shayiri, nawe utakioka mbele ya macho yao juu ya mashonde yatokayo katika mwanadamu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Utatwaa mavi ya mutu, uwashe nayo moto, upike mukate juu yake na kuukula mbele ya watu.