Ezekiel 4:15 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha akaniambia, “Basi, nakuruhusu utumie mavi ya ng'ombe badala ya mavi ya mtu ili kuokea mkate wako.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akasema, “Vema sana, basi nitakuruhusu uoke mkate wako kwa kutumia kinyesi cha ng’ombe badala ya kinyesi cha mwanadamu.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndipo akaniambia, Tazama, nimekupa mashonde ya ng'ombe badala ya mashonde ya mwanadamu, nawe utakipika chakula chako juu ya hayo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha akaniambia, “Basi, nakuruhusu utumie mavi ya ng'ombe badala ya mavi ya mtu ili kuokea mkate wako.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akasema, “Vema sana, basi nitakuruhusu uoke mkate wako kwa kutumia kinyesi cha ng'ombe badala ya kinyesi cha mwanadamu.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akasema, “Vema sana, basi nitakuruhusu uoke mkate wako kwa kutumia kinyesi cha ng’ombe badala ya kinyesi cha mwanadamu.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndipo akaniambia, Tazama, nimekupa mashonde ya ng'ombe badala ya mashonde ya mwanadamu, nawe utakipika chakula chako juu ya hayo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha akaniambia, “Basi, nakuruhusu utumie mavi ya ng'ombe badala ya mavi ya mtu ili kuokea mkate wako.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akaniambia: Tazama, nimekupa mavi ya ng'ombe penye mavi ya mtu, ndiyo utumie ya kuchomea mikate yako.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndipo akaniambia, Tazama, nimekupa mashonde ya ng’ombe badala ya mashonde ya mwanadamu, nawe utakipika chakula chako juu ya hayo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha akaniambia: Basi, ninakuruhusu utumie mavi ya ngombe pahali pa mavi ya mutu kwa kupika mukate wako.