Ezekiel 4:17 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nitafanya hivyo ili wakose chakula na maji, na kila mmoja atamwangalia mwenzake kwa kufadhaika; nao watadhoofika kwa adhabu yao.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kwa kuwa chakula na maji vitakuwa adimu. Kila mmoja atastaajabu kumwona mwenzake, nao watadhoofika kwa sababu ya dhambi yao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
wapate kupungukiwa na mkate na maji, na kustaajabiana, na kukonda kwa sababu ya uovu wao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nitafanya hivyo ili wakose chakula na maji, na kila mmoja atamwangalia mwenzake kwa kufadhaika; nao watadhoofika kwa adhabu yao.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kwa kuwa chakula na maji vitakuwa adimu. Watastajabiana kila mmoja, nao watadhoofika kwa sababu ya dhambi yao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kwa kuwa chakula na maji vitakuwa adimu. Watastajabiana kila mmoja, nao watadhoofika kwa sababu ya dhambi yao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
wapate kupungukiwa na mkate na maji, na kustaajabiana, na kukonda kwa sababu ya uovu wao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nitafanya hivyo ili wakose chakula na maji, na kila mmoja atamwangalia mwenzake kwa kufadhaika; nao watadhoofika kwa adhabu yao.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
kwani watakosa vyakula na maji, wapigwe na bumbuazi wote pamoja, wakitoweshwa kwa ajili ya manza zao walizozikora.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
wapate kupungukiwa na mkate na maji, na kustaajabiana, na kukonda kwa sababu ya uovu wao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nitafanya hivyo kusudi wakose chakula na maji, na kila mumoja atamwangalia mwenzake kwa kufazaika; nao watakuwa zaifu kwa ajili ya azabu yao.