Ezekiel 4:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Onesha kuwa umezingirwa. Chora ngome dhidi yake na maboma kandokando yake, makambi ya askari kandokando yake, na magogo ya kuubomolea.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha uuzingire: Njenga husuru dhidi yake, na upandishe kilima hadi kuta zake, weka kambi dhidi yake pande zote, pamoja na magogo ya kubomoa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
ukauhusuru, ukajenge ngome juu yake, na kufanya boma juu yake; ukaweke makambi juu yake, na kuweka magogo ya kuubomoa yauzunguke pande zote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Onesha kuwa umezingirwa. Chora ngome dhidi yake na maboma kandokando yake, makambi ya askari kandokando yake, na magogo ya kuubomolea.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha uuzingire: Simamisha askari dhidi yake kuuzunguka, uzunguke kwa majeshi, weka kambi dhidi yake pande zote pamoja na magogo ya kubomolea boma vitani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha uuzingire: Simamisha askari dhidi yake kuuzunguka, uzunguke kwa majeshi, weka kambi dhidi yake pande zote pamoja na magogo ya kubomolea boma vitani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
ukauhusuru, ukajenge ngome juu yake, na kufanya boma juu yake; ukaweke makambi juu yake, na kuweka magogo ya kuubomoa yauzunguke pande zote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Onesha kuwa umezingirwa. Chora ngome dhidi yake na maboma kandokando yake, makambi ya askari kandokando yake, na magogo ya kuubomolea.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha uuzungushie boma! Hilo boma ulijengee minara, ulizungushie hata ukingo wa mchanga! Tena uupigie po pote makambi ya askari, uweke nayo magogo ya kuvunjia boma!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
ukauhusuru, ukajenge ngome juu yake, na kufanya boma juu yake; ukaweke makambi juu yake, na kuweka magogo ya kuubomoa yauzunguke pande zote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Onyesha kwamba muji ule umeshambuliwa. Utaujengea nafasi za kupandia juu ya kuta zake. Kandokando yake uweke makambi ya waaskari, na gongo ya kubomoa kuta.