Ezekiel 4:8 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nitakufunga kamba ili usiweze kugeuka toka upande mmoja hadi upande mwingine, mpaka hapo kuzingirwa kwa Yerusalemu kutakapomalizika.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nitakufunga kwa kamba ili usiweze kugeuka kutoka upande mmoja hadi upande mwingine, hata utakapotimiza siku za kuzingirwa kwako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na tazama, nitakutia pingu, wala hutageuka toka upande mmoja hata upande wa pili, hata utakapozitimiza siku za mazingiwa yako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nitakufunga kamba ili usiweze kugeuka toka upande mmoja hadi upande mwingine, mpaka hapo kuzingirwa kwa Yerusalemu kutakapomalizika.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nitakufunga kwa kamba ili usiweze kugeuka kutoka upande mmoja hadi upande mwingine mpaka hapo utakapokuwa umetimiza siku za kuzingirwa kwako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nitakufunga kwa kamba ili usiweze kugeuka kutoka upande mmoja hadi upande mwingine, mpaka hapo utakapokuwa umetimiza siku za kuzingirwa kwako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na tazama, nitakutia pingu, wala hutageuka toka upande mmoja hata upande wa pili, hata utakapozitimiza siku za kuzingirwa kwako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nitakufunga kamba ili usiweze kugeuka toka upande mmoja hadi upande mwingine, mpaka hapo kuzingirwa kwa Yerusalemu kutakapomalizika.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tena utaniona nikikufunga kwa kamba, usiweze kugeuka na kuulalia ubavu wa pili, mpaka uzimalize siku za kusongwa kwako.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na tazama, nitakutia pingu, wala hutageuka toka upande mmoja hata upande wa pili, hata utakapozitimiza siku za mazingiwa yako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nitakufunga kamba kusudi usiweze kugeuka toka upande mumoja mpaka upande mwingine, mpaka wakati kushambuliwa kwa Yerusalema kutakapomalizika.