Ezekiel 40:11 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha, yule mtu akapima upana wa nafasi ya kupitia katika lango. Upana wake ulikuwa mita 6.5. Ukubwa wote wa ukumbi wa katikati wa kupitia ulikuwa mita 5.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha akapima upana wa ingilio la lango, ilikuwa dhiraa kumi, na urefu wake ulikuwa dhiraa kumi na tatu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akaupima upana wa mahali pa kuliingilia lango, dhiraa kumi; na urefu wa lango, dhiraa kumi na tatu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha, yule mtu akapima upana wa nafasi ya kupitia katika lango. Upana wake ulikuwa mita 6.5. Ukubwa wote wa ukumbi wa katikati wa kupitia ulikuwa mita 5.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha akapima upana wa ingilio la lango, ilikuwa dhiraa kumi na urefu wake ulikuwa dhiraa kumi na tatu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha akapima upana wa ingilio la lango, ilikuwa dhiraa kumi na urefu wake ulikuwa dhiraa kumi na tatu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akaupima upana wa mahali pa kuliingilia lango, dhiraa kumi; na urefu wa lango, dhiraa kumi na tatu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha, yule mtu akapima upana wa nafasi ya kupitia katika lango. Upana wake ulikuwa mita 6.5. Ukubwa wote wa ukumbi wa katikati wa kupitia ulikuwa mita 5.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akaupima upana wa hapo pa kuingia, langoni nao ulikuwa mikono kumi, urefu wa lile lango ulikuwa mikono kumi na mitatu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akaupima upana wa mahali pa kuliingilia lango, dhiraa kumi; na urefu wa lango, dhiraa kumi na tatu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha, yule mutu akapima upana wa nafasi ya kupitia katika mulango. Upana wake ulikuwa metre sita na nusu. Ukubwa wote wa baraza ya katikati ya kupitia ulikuwa metre tano.