Ezekiel 40:12 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mbele ya vyumba vya walinzi ambavyo vilikuwa mraba: Mita 3 kwa 3, kulikuwa na ukuta mfupi kama kizuizi ukiwa na kimo cha sentimita 50 na unene sentimita 50.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mbele ya kila chumba cha kupumzikia kulikuwa na ukuta uliokuwa na kimo cha dhiraa moja kwenda juu, navyo hivyo vyumba vilikuwa dhiraa sita mraba.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na mpaka, mbele ya vile vyumba, dhiraa moja upande huu, na mpaka, dhiraa moja upande huu; na vile vyumba, dhiraa sita upande huu, na dhiraa sita upande huu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mbele ya vyumba vya walinzi ambavyo vilikuwa mraba: mita 3 kwa 3, kulikuwa na ukuta mfupi kama kizuizi ukiwa na kimo cha sentimita 50 na unene sentimita 50.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mbele ya kila chumba cha kupumzikia kulikuwepo ukuta uliokuwa na kimo cha dhiraa moja kwenda juu, navyo hivyo vyumba vilikuwa dhiraa sita mraba.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mbele ya kila chumba cha kupumzikia kulikuwepo ukuta uliokuwa na kimo cha dhiraa moja kwenda juu, navyo hivyo vyumba vilikuwa dhiraa sita mraba.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na mpaka, mbele ya vile vyumba, dhiraa moja upande huu, na mpaka, dhiraa moja upande huu; na vile vyumba, dhiraa sita upande huu, na dhiraa sita upande huu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mbele ya vyumba vya walinzi ambavyo vilikuwa mraba: Mita 3 kwa 3, kulikuwa na ukuta mfupi kama kizuizi ukiwa na kimo cha sentimita 50 na unene sentimita 50.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mbele ya vile vyumba palikuwa pamekatwa mipaka, urefu wao wa juu upande wa huku mkono mmoja, nao upande wa huko vilevile mkono mmoja; kila chumba kilikuwa mikono sita upande wa huku na mikono sita upande wa huko.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na mpaka, mbele ya vile vyumba, dhiraa moja upande huu, na mpaka, dhiraa moja upande huu; na vile vyumba, dhiraa sita upande huu, na dhiraa sita upande huu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mbele ya vyumba vya walinzi ambavyo vilikuwa muraba: metre tatu kwa tatu, kulikuwa ukuta mufupi kama kizuizi ukiwa na kimo cha sentimetre makumi tano na unene sentimetre makumi tano.