Ezekiel 40:14 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Chumba cha mwisho kabisa kilielekea kwenye ua. Akakipima chumba hicho nacho kilikuwa na upana mita 10.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akapima pande za mbele za hizo kuta zilizochomoza kuzunguka hadi ndani ya ingilio. Urefu wake ulikuwa dhiraa sitini. Kipimo kilikuwa hadi baraza iliyoangaliana na ua.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akafanya miimo pia, dhiraa sitini; na uwanda uliufikilia mwimo, lango lile likizungukwa pande zote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Chumba cha mwisho kabisa kilielekea kwenye ua. Akakipima chumba hicho nacho kilikuwa na upana mita 10.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akapima pia ukumbi, urefu wa dhiraa ishirini na lango linalofuatia hiyo nguzo kila upande wa huo ukumbi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akapima pia ukumbi, urefu wa dhiraa ishirini na lango linalofuatia hiyo nguzo kila upande wa huo ukumbi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akafanya miimo pia, dhiraa sitini; na uwanda uliufikia mwimo, lango lile likizungukwa pande zote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Chumba cha mwisho kabisa kilielekea kwenye ua. Akakipima chumba hicho nacho kilikuwa na upana mita 10.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akafanya nguzo za mikono sitini; penye hizo nguzo ua ulilizunguka jengo la lango pande zote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akafanya miimo pia, dhiraa sitini; na uwanda uliufikilia mwimo, lango lile likizungukwa pande zote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Chumba cha mwisho kabisa kilielekea kwenye kiwanja. Akakipima chumba hicho nacho kilikuwa na upana metre kumi.