Ezekiel 40:18 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Sakafu hiyo ilitandazwa kuzunguka malango kwa kufuatana na urefu wa malango hayo; hiyo ilikuwa sakafu ya chini.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Njia hii iliyojengwa iliambaa na lango, ikiwa na urefu sawa na lango; hii ilikuwa ni njia ya chini.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na ile sakafu ilikuwa kando ya malango, urefu wake sawasawa na urefu wa malango, yaani, sakafu ya chini.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Sakafu hiyo ilitandazwa kuzunguka malango kwa kufuatana na urefu wa malango hayo; hiyo ilikuwa sakafu ya chini.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Njia hii iliyojengwa iliambaa na lango, ikiwa na urefu sawa na lango, hii ilikuwa ni njia ya chini.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Njia hii iliyojengwa iliambaa na lango, ikiwa na urefu sawa na lango, hii ilikuwa ni njia ya chini.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na ile sakafu ilikuwa kando ya malango, urefu wake sawasawa na urefu wa malango, yaani, sakafu ya chini.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Sakafu hiyo ilitandazwa kuzunguka malango kwa kufuatana na urefu wa malango hayo; hiyo ilikuwa sakafu ya chini.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hiyo sakafu ilikuwa kando penye malango, ikalingana na urefu wa majengo ya malango, ndiyo sakafu ya ua wa chini.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na ile sakafu ilikuwa kando ya malango, urefu wake sawasawa na urefu wa malango, yaani, sakafu ya chini.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Sakafu hiyo ilitandazwa kuzunguka milango kwa kufuatana na urefu wa milango hiyo; hiyo ilikuwa sakafu ya chini.