Ezekiel 40:24 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yule mtu akanichukua upande wa kusini; huko nako kulikuwako lango; alipima miimo yake na ukumbi na vipimo vyake vilikuwa sawa na miimo na kumbi nyingine.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo akaniongoza mpaka upande wa kusini, nami nikaona lango linaloelekea kusini. Akaipima miimo yake na baraza yake, navyo vilikuwa na vipimo sawa kama hivyo vingine.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akanileta mpaka upande wa kusini, na tazama, lango lililoelekea kusini; akaipima miimo yake, na matao yake, sawasawa na vipimo hivyo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yule mtu akanichukua upande wa kusini; huko nako kulikuwako lango; alipima miimo yake na ukumbi na vipimo vyake vilikuwa sawa na miimo na kumbi nyingine.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo akaniongoza mpaka upande wa kusini, nami nikaona lango linaloelekea kusini. Akaipima miimo yake na baraza yake, navyo vilikuwa na vipimo sawa kama hivyo vingine.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo akaniongoza mpaka upande wa kusini, nami nikaona lango linaloelekea kusini. Akaipima miimo yake na baraza yake, navyo vilikuwa na vipimo sawa kama hivyo vingine.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akanileta mpaka upande wa kusini, na tazama, lango lililoelekea kusini; akaipima miimo yake, na matao yake, sawasawa na vipimo hivyo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yule mtu akanichukua upande wa kusini; huko nako kulikuwako lango; alipima miimo yake na ukumbi na vipimo vyake vilikuwa sawa na miimo na kumbi nyingine.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akaniongoza njia ya kwenda kusini, nikaona, hata katika hiyo njia ya kwenda kusini kulikuwako jengo la lango, akazipima nguzo zake na ukumbi wake, kipimo chao kilikuwa kilekile.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akanileta mpaka upande wa kusini, na tazama, lango lililoelekea kusini; akaipima miimo yake, na matao yake, sawasawa na vipimo hivyo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yule mutu akanipeleka upande wa kusini; huko nako kulikuwa mulango; alipima miimo yake na baraza na vipimo vyake vilikuwa sawa na miimo na baraza zingine.