Ezekiel 40:27 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mkabala na njia hiyo ya kuingilia kulikuwa na njia ya kuingilia kwenye ua wa ndani. Yule mtu akapima urefu kati ya hizo njia, akapata mita 50.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ukumbi wa ndani pia ulikuwa na lango lililoelekea kusini. Naye akapima kutoka lango hili hadi kwenye lango la nje upande wa kusini; ilikuwa dhiraa mia moja.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena ua wa ndani ulikuwa na lango, lililoelekea kusini; akapima toka lango hata lango, kwa kuelekea upande wa kusini, dhiraa mia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mkabala na njia hiyo ya kuingilia kulikuwa na njia ya kuingilia kwenye ua wa ndani. Yule mtu akapima urefu kati ya hizo njia, akapata mita 50.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ukumbi wa ndani pia ulikuwa na lango linaloelekea kusini, naye akapima kutoka lango hili mpaka kwenye lango la nje upande wa kusini, ilikuwa dhiraa mia moja.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ukumbi wa ndani pia ulikuwa na lango lililoelekea kusini. Naye akapima kutoka lango hili mpaka kwenye lango la nje upande wa kusini; ilikuwa dhiraa mia moja.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena ua wa ndani ulikuwa na lango, lililoelekea kusini; akapima toka lango hadi lango, kwa kuelekea upande wa kusini, dhiraa mia moja.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mkabala na njia hiyo ya kuingilia kulikuwa na njia ya kuingilia kwenye ua wa ndani. Yule mtu akapima urefu kati ya hizo njia, akapata mita 50.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tena kulikuwako hata jengo la lango la ua wa ndani katika hiyo njia ya kwenda kusini, akapima toka lango hata lango katika hiyo njia ya kwenda kusini mikono mia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena ua wa ndani ulikuwa na lango, lililoelekea kusini; akapima toka lango hata lango, kwa kuelekea upande wa kusini, dhiraa mia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mbele ya njia hiyo ya kuingilia kulikuwa njia ya kuingilia kwenye kiwanja cha ndani. Yule mutu akapima urefu kati ya hizo njia, akapata metre makumi tano.