Ezekiel 40:28 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yule mtu akanipitisha kwenye njia ya kuingilia upande wa kusini, tukafika kwenye ua wa ndani. Aliipima hiyo njia nayo ilikuwa sawa na zile njia nyingine za kuingilia kwenye kuta za nje.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha akanileta mpaka ukumbi wa ndani kupitia lango la kusini, naye akapima lango la kusini, ambalo lilikuwa na vipimo sawa na yale mengine.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha akanileta mpaka ua wa ndani karibu na lango lililoelekea kusini; akalipima lango la kusini kwa vipimo vivyo hivyo;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yule mtu akanipitisha kwenye njia ya kuingilia upande wa kusini, tukafika kwenye ua wa ndani. Aliipima hiyo njia nayo ilikuwa sawa na zile njia nyingine za kuingilia kwenye kuta za nje.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha akanileta mpaka ukumbi wa ndani kwa kupitia lango la kusini, naye akapima lango la kusini, ambalo lilikuwa na vipimo sawa na yale mengine.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha akanileta mpaka ukumbi wa ndani kwa kupitia lango la kusini, naye akapima lango la kusini, ambalo lilikuwa na vipimo sawa na yale mengine.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha akanileta mpaka ua wa ndani karibu na lango lililoelekea kusini; akalipima lango la kusini kwa vipimo vivyo hivyo;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yule mtu akanipitisha kwenye njia ya kuingilia upande wa kusini, tukafika kwenye ua wa ndani. Aliipima hiyo njia nayo ilikuwa sawa na zile njia nyingine za kuingilia kwenye kuta za nje.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akanipeleka katika ua wa ndani kwenye njia ya kwenda kusini, akalipima hilo jengo la lango la kusini, vipimo vyake vilikuwa vile vile,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha akanileta mpaka ua wa ndani karibu na lango lililoelekea kusini; akalipima lango la kusini kwa vipimo vivyo hivyo;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yule mutu akanipitisha kwenye njia ya kuingilia upande wa kusini, tukafika kwenye kiwanja cha ndani. Aliipima hiyo njia nayo ilikuwa sawa na zile njia zingine za kuingilia kwenye kuta za inje.