Ezekiel 40:31 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ule ukumbi ulikuwa mkabala na ua wa nje. Na kulikuwa na michoro ya mitende kwenye nguzo kandokando ya hiyo njia ya kuingilia kwenye ngazi. Kulikuwa na ngazi nane za kupandia lango hili.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Baraza yake ilielekeana na ukumbi wa nje; miimo yake ilinakshiwa mitende, na kulikuwa na ngazi nane za kupandia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na matao yake yaliuelekea ua wa nje, na mitende ilikuwa juu ya miimo yake; palikuwa na madaraja manane ya kuupandia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ule ukumbi ulikuwa mkabala na ua wa nje. Na kulikuwa na michoro ya mitende kwenye nguzo kandokando ya hiyo njia ya kuingilia kwenye ngazi. Kulikuwa na ngazi nane za kupandia lango hili.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Baraza yake ilielekeana na ukumbi wa nje, miimo yake ilinakshiwa miti ya mitende, kulikuwa na ngazi nane za kupandia huko.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Baraza yake ilielekeana na ukumbi wa nje, miimo yake ilinakshiwa miti ya mitende, kulikuwa na ngazi nane za kupandia huko.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na matao yake yaliuelekea ua wa nje, na mitende ilikuwa juu ya miimo yake; palikuwa na madaraja manane ya kuupandia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ule ukumbi ulikuwa mkabala na ua wa nje. Na kulikuwa na michoro ya mitende kwenye nguzo kandokando ya hiyo njia ya kuingilia kwenye ngazi. Kulikuwa na ngazi nane za kupandia lango hili.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ukumbi wake uliuelekea ua wa nje, nayo machoro ya mitende yalikuwa penye nguzo zake, tena hapo palikuwa na vipago vinane vya kupapandia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na matao yake yaliuelekea ua wa nje, na mitende ilikuwa juu ya miimo yake; palikuwa na madaraja manane ya kuupandia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ile baraza ilikuwa inaelekea kiwanja cha inje. Na kulikuwa michoro ya miti ya ngazi kwenye nguzo kandokando ya hiyo njia ya kuingilia. Kulikuwa ngazi nane za kupandia kwenye mulango huu.