Ezekiel 40:32 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yule mtu alinipeleka upande wa mashariki wa ua wa ndani. Akaipima ile njia ya kuingilia, nayo ilikuwa na urefu kama zile njia nyingine za kuingilia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha akanileta hadi kwenye ukumbi wa ndani ulioko upande wa mashariki, naye akalipima lango hilo; lilikuwa na vipimo vilivyo sawasawa na yale mengine.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akanileta mpaka ua wa ndani ulioelekea upande wa mashariki, akalipima lango kwa vipimo vivyo hivyo;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yule mtu alinipeleka upande wa mashariki wa ua wa ndani. Akaipima ile njia ya kuingilia, nayo ilikuwa na urefu kama zile njia nyingine za kuingilia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha akanileta mpaka kwenye ukumbi wa ndani ulioko upande wa mashariki, naye akalipima lango hilo, lilikuwa na vipimo vilivyo sawasawa na yale mengine.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha akanileta mpaka kwenye ukumbi wa ndani ulioko upande wa mashariki, naye akalipima lango hilo, lilikuwa na vipimo vilivyo sawasawa na yale mengine.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akanileta mpaka ua wa ndani ulioelekea upande wa mashariki, akalipima lango kwa vipimo vivyo hivyo;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yule mtu alinipeleka upande wa mashariki wa ua wa ndani. Akaipima ile njia ya kuingilia, nayo ilikuwa na urefu kama zile njia nyingine za kuingilia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha akanipeleka katika ua wa ndani penye njia ya maawioni kwa jua, akalipima jengo la lango vipimo vyake vilikuwa vilevile.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akanileta mpaka ua wa ndani ulioelekea upande wa mashariki, akalipima lango kwa vipimo vivyo hivyo;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yule mutu alinipeleka upande wa mashariki wa kiwanja cha ndani. Akaipima ile njia ya kuingilia, nayo ilikuwa na urefu kama zile njia zingine za kuingilia.