Ezekiel 40:33 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Vyumba vyake vya walinzi, nguzo zake za ndani pamoja na ukumbi vilikuwa na ukubwa kama vile vingine. Kulikuwa na madirisha pande zote hata kwenye matao na chumba cha kuingilia. Urefu wake ulikuwa mita 25 na upana wake mita kumi na mbili u nusu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Vyumba vyake, kuta zake zilizochomoza, na baraza yake vilikuwa na vipimo sawa na vile vingine. Lile lango pamoja na baraza yake vilikuwa na madirisha pande zote. Urefu wake ulikuwa dhiraa hamsini na upana wake dhiraa ishirini na tano.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
navyo vyumba vyake vya walinzi, na miimo yake, na matao yake, kwa vipimo hivyo; tena palikuwa na madirisha ndani yake, na katika matao yake pande zote; urefu wake dhiraa hamsini, na upana wake dhiraa ishirini na tano.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Vyumba vyake vya walinzi, nguzo zake za ndani pamoja na ukumbi vilikuwa na ukubwa kama vile vingine. Kulikuwa na madirisha pande zote hata kwenye matao na chumba cha kuingilia. Urefu wake ulikuwa mita 25 na upana wake mita kumi na mbili u nusu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Vyumba vyake, kuta zake na baraza yake vilikuwa na vipimo vilivyo sawa na vile vingine. Lile lango pamoja na baraza yake vilikuwa na madirisha pande zote. Urefu wake ulikuwa dhiraa hamsini na upana wake dhiraa ishirini na tano.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Vyumba vyake, kuta zake na baraza yake vilikuwa na vipimo vilivyo sawa na vile vingine. Lile lango pamoja na baraza yake vilikuwa na madirisha pande zote. Urefu wake ulikuwa dhiraa hamsini na upana wake dhiraa ishirini na tano.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
navyo vyumba vyake vya walinzi, na miimo yake, na matao yake, kwa vipimo hivyo; tena palikuwa na madirisha ndani yake, na katika matao yake pande zote; urefu wake dhiraa hamsini, na upana wake dhiraa ishirini na tano.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Vyumba vyake vya walinzi, nguzo zake za ndani pamoja na ukumbi vilikuwa na ukubwa kama vile vingine. Kulikuwa na madirisha pande zote hata kwenye matao na chumba cha kuingilia. Urefu wake ulikuwa mita 25 na upana wake mita kumi na mbili u nusu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Navyo vyumba vyake na nguzo zake na ukumbi wake vilikuwa vilevile. Hata madirisha yalilizunguka hilo jengo la lango na ukumbi wake pande zote. Urefu ulikuwa mikono hamsini, nao upana ukikuwa mikono ishirini na mitano.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
navyo vyumba vyake vya walinzi, na miimo yake, na matao yake, kwa vipimo hivyo; tena palikuwa na madirisha ndani yake, na katika matao yake pande zote; urefu wake dhiraa hamsini, na upana wake dhiraa ishirini na tano.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Vyumba vyake vya walinzi, nguzo zake za ndani pamoja na baraza vilikuwa na ukubwa kama vile vingine. Kulikuwa madirisha pande zote hata kwenye baraza na chumba cha kuingilia. Urefu wake ulikuwa metre makumi mbili na tano na upana wake metre kumi na mbili na nusu.