Ezekiel 40:34 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kile chumba cha kuingilia kilikuwa mkabala na uwanja wa nje. Mitende ilichorwa kwenye kuta kwenye nafasi ya kupitia. Kulikuwa na ngazi nane za kupandia kuelekea kwenye lango hili.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Baraza yake ilielekeana na ukumbi wa nje; miimo yake ilinakshiwa mitende pande zote, na kulikuwa na ngazi nane za kupandia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na matao yake yaliuelekea ua wa nje; na mitende ilikuwa juu ya miimo yake, upande huu na upande huu; tena palikuwa na madaraja manane ya kuupandia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kile chumba cha kuingilia kilikuwa mkabala na uwanja wa nje. Mitende ilichorwa kwenye kuta kwenye nafasi ya kupitia. Kulikuwa na ngazi nane za kupandia kuelekea kwenye lango hili.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Baraza yake ilielekea ukumbi wa nje, miimo yake ilinakshiwa miti ya mitende pande zote. Kulikuwa na ngazi nane za kupandia huko.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Baraza yake ilielekea ukumbi wa nje, miimo yake ilinakshiwa miti ya mitende pande zote. Kulikuwa na ngazi nane za kupandia huko.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na matao yake yaliuelekea ua wa nje; na mitende ilikuwa juu ya miimo yake, upande huu na upande huu; tena palikuwa na madaraja manane ya kuupandia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kile chumba cha kuingilia kilikuwa mkabala na uwanja wa nje. Mitende ilichorwa kwenye kuta kwenye nafasi ya kupitia. Kulikuwa na ngazi nane za kupandia kuelekea kwenye lango hili.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ukumbi wake uliuelekea ua wa nje, nayo machoro ya mitende yalikuwa penye nguzo zake upande wa huku na upande wa huko, napo hapo palikuwa na vipago vinane vya kupapandia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na matao yake yaliuelekea ua wa nje; na mitende ilikuwa juu ya miimo yake, upande huu na upande huu; tena palikuwa na madaraja manane ya kuupandia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kile chumba cha kuingilia kilikuwa kinaelekea kwenye kiwanja cha inje. Miti ya ngazi ilichorwa kwenye kuta kwenye nafasi ya kupitia. Kulikuwa ngazi nane za kupandia kuelekea kwenye mulango huu.