Ezekiel 40:35 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha yule mtu akanipeleka kwenye njia ya kuingilia upande wa kaskazini. Basi, akaipima hiyo njia ya kuingilia, nayo ilikuwa sawa na zile njia nyingine.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha akanileta mpaka kwenye lango la kaskazini na kulipima. Lilikuwa na vipimo sawa na yale mengine,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akanileta mpaka lango lililoelekea upande wa kaskazini; akalipima kwa vipimo vivyo hivyo;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha yule mtu akanipeleka kwenye njia ya kuingilia upande wa kaskazini. Basi, akaipima hiyo njia ya kuingilia, nayo ilikuwa sawa na zile njia nyingine.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha akanileta mpaka kwenye lango la kaskazini na kulipima. Lilikuwa na vipimo sawa na yale mengine,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha akanileta mpaka kwenye lango la kaskazini na kulipima. Lilikuwa na vipimo sawa na yale mengine,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akanileta mpaka lango lililoelekea upande wa kaskazini; akalipima kwa vipimo vivyo hivyo;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha yule mtu akanipeleka kwenye njia ya kuingilia upande wa kaskazini. Basi, akaipima hiyo njia ya kuingilia, nayo ilikuwa sawa na zile njia nyingine.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha akanipeleka penye jengo la lango la kaskazini, akalipima, vipimo vyake vilikuwa vilevile.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akanileta mpaka lango lililoelekea upande wa kaskazini; akalipima kwa vipimo vivyo hivyo;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha yule mutu akanipeleka kwenye njia ya kuingilia upande wa kaskazini. Basi, akaipima hiyo njia ya kuingilia, nayo ilikuwa sawa na zile njia zingine.