Ezekiel 40:36 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Huko nako kulikuwa na vyumba vya walinzi, kuta za ndani zilizopambwa, ukumbi wa kuingilia na madirisha pande zote. Urefu wake wote ulikuwa mita 25 na upana mita kumi na mbili u nusu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kama vile ilivyokuwa kwa vyumba, kuta zake na baraza yake, tena kulikuwa na madirisha pande zote. Ilikuwa na urefu wa dhiraa hamsini na upana wake dhiraa ishirini na tano.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
vyumba vyake vya walinzi, na miimo yake, na matao yake; tena palikuwa na madirisha ndani yake pande zote; urefu wake dhiraa hamsini, na upana wake dhiraa ishirini na tano.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Huko nako kulikuwa na vyumba vya walinzi, kuta za ndani zilizopambwa, ukumbi wa kuingilia na madirisha pande zote. Urefu wake wote ulikuwa mita 25 na upana mita kumi na mbili u nusu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kama vile ilivyokuwa kwa vyumba, kuta zake na baraza yake, tena kulikuwa na madirisha pande zote. Ilikuwa na urefu wa dhiraa hamsini na upana wake dhiraa ishirini na tano.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kama vile ilivyokuwa kwa vyumba, kuta zake na baraza yake, tena kulikuwa na madirisha pande zote. Ilikuwa na urefu wa dhiraa hamsini na upana wake dhiraa ishirini na tano.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
vyumba vyake vya walinzi, na miimo yake, na matao yake; tena palikuwa na madirisha ndani yake pande zote; urefu wake dhiraa hamsini, na upana wake dhiraa ishirini na tano.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Huko nako kulikuwa na vyumba vya walinzi, kuta za ndani zilizopambwa, ukumbi wa kuingilia na madirisha pande zote. Urefu wake wote ulikuwa mita 25 na upana mita kumi na mbili u nusu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Vyumba vyake na nguzo zake na ukumbi wake ni vivyo hivyo, nayo madirisha yalilizunguka pande zote; urefu ulikuwa mikono hamsini, nao upana ulikuwa mikono ishirini na mitano.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
vyumba vyake vya walinzi, na miimo yake, na matao yake; tena palikuwa na madirisha ndani yake pande zote; urefu wake dhiraa hamsini, na upana wake dhiraa ishirini na tano.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Huko nako kulikuwa vyumba vya walinzi, kuta za ndani zilizopambwa, baraza ya kuingilia na madirisha pande zote. Urefu wake wote ulikuwa metre makumi mbili na tano na upana metre kumi na mbili na nusu.