Ezekiel 40:38 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwenye ua wa nje, kulikuwa na chumba cha ziada kilichounganishwa na njia ya kuingilia ya ndani, upande wa kaskazini. Chumba hicho kilikuwa mkabala na ukumbi wa kuingia, na huko walisafishia wanyama waliochinjwa kwa ajili ya tambiko za kuteketezwa nzima.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kulikuwa na chumba na mlango karibu na baraza katika kila njia ya ndani ya lango ambamo sadaka za kuteketezwa zilioshwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na chumba, pamoja na lango lake, kilikuwa karibu na miimo ya malango; ndiko walikoiosha sadaka ya kuteketezwa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwenye ua wa nje, kulikuwa na chumba cha ziada kilichounganishwa na njia ya kuingilia ya ndani, upande wa kaskazini. Chumba hicho kilikuwa mkabala na ukumbi wa kuingia, na huko walisafishia wanyama waliochinjwa kwa ajili ya tambiko za kuteketezwa nzima.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kulikuwa na chumba na mlango karibu na baraza katika kila njia ya ndani ya lango ambamo sadaka za kuteketezwa zilioshwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kulikuwa na chumba na mlango karibu na baraza katika kila njia ya ndani ya lango ambamo sadaka za kuteketezwa zilioshwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na chumba, pamoja na lango lake, kilikuwa karibu na miimo ya malango; ndiko walikoiosha sadaka ya kuteketezwa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwenye ua wa nje, kulikuwa na chumba cha ziada kilichounganishwa na njia ya kuingilia ya ndani, upande wa kaskazini. Chumba hicho kilikuwa mkabala na ukumbi wa kuingia, na huko walisafishia wanyama waliochinjwa kwa ajili ya tambiko za kuteketezwa nzima.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hapo palikuwa na chumba, pake pa kuingilia palikuwa ukumbini mwa hayo malango, ndimo walimozisafishia nyama za kuteketezwa nzima za tambiko.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na chumba, pamoja na lango lake, kilikuwa karibu na miimo ya malango; ndiko walikoiosha sadaka ya kuteketezwa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwenye kiwanja cha inje, kulikuwa chumba cha zaidi kilichounganishwa na njia ya kuingilia ya ndani kwa upande wa kaskazini. Chumba hicho kilikuwa kinaelekea baraza ya kuingilia, na huko walisafishia nyama waliochinjwa kwa ajili ya sadaka za kuteketezwa nzima.