Ezekiel 40:41 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Meza zote ambazo zilitumiwa kwa kuchinjia wanyama wa tambiko zilikuwa nane: Meza nne ndani ya ukumbi na meza nne nje ya ukumbi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa hiyo kulikuwa na meza nne upande mmoja wa lango na nyingine nne upande mwingine, zote zilikuwa meza nane, ambapo dhabihu zilichinjiwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Palikuwa na meza nne upande huu, na meza nne upande huu, karibu na lango; meza nane ambazo juu yake walizichinja sadaka.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Meza zote ambazo zilitumiwa kwa kuchinjia wanyama wa tambiko zilikuwa nane: meza nne ndani ya ukumbi na meza nne nje ya ukumbi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa hiyo kulikuwa na meza nne upande mmoja wa lango na nyingine nne upande mwingine, zote zilikuwa meza nane, ambapo dhabihu zilichinjiwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa hiyo kulikuwa na meza nne upande mmoja wa lango na nyingine nne upande mwingine, zote zilikuwa meza nane, ambapo dhabihu zilichinjiwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Palikuwa na meza nne upande huu, na meza nne upande huu, karibu na lango; meza nane ambazo juu yake walizichinja sadaka.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Meza zote ambazo zilitumiwa kwa kuchinjia wanyama wa tambiko zilikuwa nane: Meza nne ndani ya ukumbi na meza nne nje ya ukumbi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Pamoja zilikuwa meza nne upande wa huku na meza nne upande wa huko kando ya hilo jengo la lango, zote pamoja zilikuwa meza nane; ndipo, walipoziandalia nyama zilizochinjwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Palikuwa na meza nne upande huu, na meza nne upande huu, karibu na lango; meza nane ambazo juu yake walizichinja sadaka.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Meza zote ambazo zilitumiwa kwa kuchinjia nyama wa sadaka zilikuwa nane: meza ine ndani ya baraza na meza ine inje ya baraza.