Ezekiel 40:43 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ndani ya ukumbi huo palizungukwa na vijiti vya kutundikia urefu wa kitanga, na nyama ziliwekwa mezani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kulikuwa na kulabu, urefu wake nyanda nne, zilizokuwa zimeshikizwa ukutani pande zote. Meza zilikuwa kwa ajili ya nyama za sadaka.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena hizo kulabu, ambazo urefu wake ni shubiri, zilifungwa ndani pande zote; na juu ya meza hizo ilikuwako nyama ya matoleo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ndani ya ukumbi huo palizungukwa na vijiti vya kutundikia urefu wa kitanga, na nyama ziliwekwa mezani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kulikuwa na kulabu, urefu wake nyanda nne, zilikuwa zimeshikizwa ukutani pande zote. Meza zilikuwa kwa ajili ya nyama za sadaka.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kulikuwa na kulabu, urefu wake nyanda nne, zilikuwa zimeshikizwa ukutani pande zote. Meza zilikuwa kwa ajili ya nyama za sadaka.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena hizo ndoana, ambazo urefu wake ni shubiri, zilifungwa ndani pande zote; na juu ya meza hizo ilikuwako nyama ya matoleo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ndani ya ukumbi huo palizungukwa na vijiti vya kutundikia urefu wa kitanga, na nyama ziliwekwa mezani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Upande wao wa ndani palikuwa pametiwa mambo, urefu wao shibiri moja pande zote; hizo meza zilikuwa za kuwekea nyama, walizomtolea Mungu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena hizo kulabu, ambazo urefu wake ni shubiri, zilifungwa ndani pande zote; na juu ya meza hizo ilikuwako nyama ya matoleo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ndani ya baraza hilo kulizungukwa na vijiti vya kutundikia, na nyama ziliwekwa juu ya meza.