Ezekiel 40:6 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha, akaenda kwenye lango la mashariki akapanda ngazi na akiwa juu akapima kizingiti cha lango ambacho kilikuwa na kina mita 3.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha akaenda kwenye lango linaloelekea mashariki. Akapanda ngazi zake akapima kizingiti cha lango, nacho kilikuwa na kina cha huo ufito.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha akaenda mpaka lango lielekealo upande wa mashariki, akapanda madaraja yake; akakipima kizingiti cha lango; upana wake mwanzi mmoja; na kizingiti cha pili, upana wake mwanzi mmoja.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha, akaenda kwenye lango la mashariki akapanda ngazi na akiwa juu akapima kizingiti cha lango ambacho kilikuwa na kina mita 3.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha akaenda kwenye lango linaloelekea mashariki. Akapanda ngazi zake akapima kizingiti cha lango, nacho kilikuwa na kina cha huo ufito.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha akaenda kwenye lango linaloelekea mashariki. Akapanda ngazi zake akapima kizingiti cha lango, nacho kilikuwa na kina cha huo ufito.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha akaenda hadi katika lango lielekealo upande wa mashariki, akapanda madaraja yake; akakipima kizingiti cha lango; upana wake mwanzi mmoja; na kizingiti cha pili, upana wake mwanzi mmoja.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha, akaenda kwenye lango la mashariki akapanda ngazi na akiwa juu akapima kizingiti cha lango ambacho kilikuwa na kina mita 3.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha akaenda kwenye jengo la lango lililoelekea maawioni kwa jua, akavipanda vipago vyake, akakipima kizingiti cha jengo la lango, upana wake ulikuwa mwanzi mmoja; kizingiti hiki kimoja kilikuwa kwa upana mwanzi mmoja.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha akaenda mpaka lango lielekealo upande wa mashariki, akapanda madaraja yake; akakipima kizingiti cha lango; upana wake mwanzi mmoja; na kizingiti cha pili, upana wake mwanzi mmoja.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha, akaenda kwenye mulango wa upande wa mashariki akapanda juu ya ngazi naye akiwa juu akapima kizingiti cha mulango ambacho kilikuwa na upana wa metre tatu.