Ezekiel 40:9 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Halafu akapima kuta zake za nje zikaonekana zina unene wa mita moja. Sehemu ya ndani ya lango ilikuwa sehemu iliyokuwa karibu zaidi na hekalu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
ambayo ilikuwa na kina cha dhiraa nane na miimo yake ilikuwa na unene wa dhiraa mbili. Baraza ya lango ilielekea Hekalu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha akaupima ukumbi wa lango, dhiraa nane; na miimo yake, dhiraa mbili; na ukumbi wa lango uliielekea nyumba.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Halafu akapima kuta zake za nje zikaonekana zina unene wa mita moja. Sehemu ya ndani ya lango ilikuwa sehemu iliyokuwa karibu zaidi na hekalu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
ambayo ilikuwa na kina cha dhiraa nane na miimo yake ilikuwa na unene wa dhiraa mbili. Baraza ya lango ilielekea Hekalu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
ambayo ilikuwa na kina cha dhiraa nane na miimo yake ilikuwa na unene wa dhiraa mbili. Baraza ya lango ilielekea Hekalu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha akaupima ukumbi wa lango, dhiraa nane; na miimo yake, dhiraa mbili; na ukumbi wa lango uliielekea nyumba.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Halafu akapima kuta zake za nje zikaonekana zina unene wa mita moja. Sehemu ya ndani ya lango ilikuwa sehemu iliyokuwa karibu zaidi na hekalu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akaupima nao ukumbi wa lile jengo la lango wa upande wa mbele, nao ulikuwa mikono minane, nayo miimo yake ilikuwa mikono miwili, nao lukumbi huo ulikuwa upande wa nyumbani.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha akaupima ukumbi wa lango, dhiraa nane; na miimo yake, dhiraa mbili; na ukumbi wa lango uliielekea nyumba.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu akapima kuta zake za inje zikaonekana zina unene wa metre moja. Sehemu ya ndani ya mulango ilikuwa sehemu iliyokuwa karibu zaidi na hekalu.