Ezekiel 41:1 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha, yule mtu akanipeleka kwenye ukumbi wa ndani, mahali patakatifu. Akaipima nafasi iliyoelekea humo ndani, nayo ilikuwa na kina cha mita 3,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha yule mtu akanileta katika ukumbi mkuu, naye akaipima miimo; upana wake ulikuwa dhiraa sita kila upande.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akanileta mpaka hekaluni, akaipima miimo, upana wake dhiraa sita upande mmoja, na upana wake dhiraa sita upande wa pili, ambao ulikuwa ni upana wa maskani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha, yule mtu akanipeleka kwenye ukumbi wa ndani, mahali patakatifu. Akaipima nafasi iliyoelekea humo ndani, nayo ilikuwa na kina cha mita 3,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha yule mtu akanileta katika sehemu ya nje ya patakatifu naye akaipima miimo, upana wake ulikuwa dhiraa sita kila upande.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha yule mtu akanileta katika sehemu ya nje ya patakatifu, naye akaipima miimo; upana wake ulikuwa dhiraa sita kila upande.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akanileta mpaka hekaluni, akaipima miimo, upana wake dhiraa sita upande mmoja, na upana wake dhiraa sita upande wa pili, ambao ulikuwa ni upana wa maskani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha, yule mtu akanipeleka kwenye ukumbi wa ndani, mahali patakatifu. Akaipima nafasi iliyoelekea humo ndani, nayo ilikuwa na kina cha mita 3,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akanipeleka Patakatifu, akaipima miimo, upana ulikuwa mikono sita upande wa huku na mikono sita upande wa huko, ndio upana wa kuta za Nyumba.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akanileta mpaka hekaluni, akaipima miimo, upana wake dhiraa sita upande mmoja, na upana wake dhiraa sita upande wa pili, ambao ulikuwa ni upana wa maskani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha, yule mutu akanipeleka kwenye baraza la ndani, Pahali Patakatifu. Akaipima nafasi iliyoelekea humo ndani, nayo ilikuwa na urefu wa metre tatu,