Ezekiel 41:10 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
na vyumba vya walinzi vilikuwa na upana wa mita 10, kuzunguka hekalu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
na vyumba vya makuhani lilikuwa na upana wa dhiraa ishirini kuzunguka Hekalu pande zote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na vyumba vya walinzi, upana wa dhiraa ishirini, kuizunguka nyumba pande zote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
na vyumba vya walinzi vilikuwa na upana wa mita 10, kuzunguka hekalu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
na vyumba vya makuhani lilikuwa na upana wa dhiraa ishirini kuzunguka Hekalu pande zote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
na vyumba vya makuhani lilikuwa na upana wa dhiraa ishirini kuzunguka Hekalu pande zote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na vyumba vya walinzi, upana wa dhiraa ishirini, kuizunguka nyumba pande zote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
na vyumba vya walinzi vilikuwa na upana wa mita 10, kuzunguka hekalu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Napo mahali palipoizunguka Nyumba upana wake mpaka penye hivyo vyumba palikuwa po pote mikono ishirini.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na vyumba vya walinzi, upana wa dhiraa ishirini, kuizunguka nyumba pande zote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
na vyumba vya walinzi vilikuwa na upana wa metre kumi, kuzunguka hekalu.