Ezekiel 41:12 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwishoni kabisa mwa uwanja, upande wa magharibi kulikuwa na jengo lenye urefu wa mita 45 na upana wa mita 35. Kuta zake zilikuwa na unene wa mita 2.5.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Jengo lililoelekeana na ua wa Hekalu upande wa magharibi lilikuwa na upana wa dhiraa sabini. Ukuta wa jengo hilo ulikuwa na unene wa dhiraa tano, kulizunguka lote, urefu ulikuwa wa dhiraa tisini.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nalo jengo lililokabili mahali palipotengeka upande wa magharibi, upana wake dhiraa sabini; na ukuta wa lile jengo, unene wake dhiraa tano pande zote, na urefu wake dhiraa tisini.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwishoni kabisa mwa uwanja, upande wa magharibi kulikuwa na jengo lenye urefu wa mita 45 na upana wa mita 35. Kuta zake zilikuwa na unene wa mita 2.5.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Jengo lililoelekeana na ua wa Hekalu upande wa magharibi lilikuwa na upana wa dhiraa sabini. Ukuta wa jengo hilo ulikuwa na unene wa dhiraa tano, kulizunguka lote, urefu ulikuwa wa dhiraa tisini.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Jengo lililoelekeana na ua wa Hekalu upande wa magharibi lilikuwa na upana wa dhiraa sabini. Ukuta wa jengo hilo ulikuwa na unene wa dhiraa tano, kulizunguka lote, urefu ulikuwa wa dhiraa tisini.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nalo jengo lililokabili mahali palipotengeka upande wa magharibi, upana wake dhiraa sabini; na ukuta wa lile jengo, unene wake dhiraa tano pande zote, na urefu wake dhiraa tisini.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwishoni kabisa mwa uwanja, upande wa magharibi kulikuwa na jengo lenye urefu wa mita 45 na upana wa mita 35. Kuta zake zilikuwa na unene wa mita 2.5.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nalo jengo lililokuwa hapo palipokatazwa watu, palipoelekea baharini upana wake ulikuwa mikono sabini, nao ukuta wa hilo jengo unene wake ulikuwa mikono mitano po pote kulizunguka, nao urefu wake mikono tisini.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nalo jengo lililokabili mahali palipotengeka upande wa magharibi, upana wake dhiraa sabini; na ukuta wa lile jengo, unene wake dhiraa tano pande zote, na urefu wake dhiraa tisini.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa mwisho kabisa wa kiwanja, upande wa magaribi kulikuwa jengo lenye urefu wa metre makumi ine na tano na upana wa metre makumi tatu na tano. Kuta zake zilikuwa na unene wa metre mbili na nusu.