Ezekiel 41:13 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yule mtu akapima upande wa nje wa hekalu nao ulikuwa na urefu wa mita 50. Tokea nyuma ya nyumba ya Mwenyezi-Mungu kupitia ile nafasi ya kupitia, hadi mwisho wake, upande wa magharibi, umbali wake ulikuwa pia mita 50.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha akapima Hekalu; lilikuwa na urefu wa dhiraa mia moja na ua wa Hekalu na jengo pamoja na kuta zake vilikuwa na urefu wa dhiraa mia moja pia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi akaipima nyumba, urefu wake dhiraa mia; na mahali pale palipotengeka na jengo lile, pamoja na kuta zake, urefu wake dhiraa mia;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yule mtu akapima upande wa nje wa hekalu nao ulikuwa na urefu wa mita 50. Tokea nyuma ya nyumba ya Mwenyezi-Mungu kupitia ile nafasi ya kupitia, hadi mwisho wake, upande wa magharibi, umbali wake ulikuwa pia mita 50.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha akapima Hekalu, lilikuwa na urefu wa dhiraa mia moja na ua wa Hekalu na jengo pamoja na kuta zake vilikuwa na urefu wa dhiraa mia moja pia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha akapima Hekalu, lilikuwa na urefu wa dhiraa mia moja na ua wa Hekalu na jengo pamoja na kuta zake vilikuwa na urefu wa dhiraa mia moja pia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi akaipima nyumba, urefu wake dhiraa mia moja; na mahali pale palipotengeka na jengo lile, pamoja na kuta zake, urefu wake dhiraa mia moja;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yule mtu akapima upande wa nje wa hekalu nao ulikuwa na urefu wa mita 50. Tokea nyuma ya nyumba ya Mwenyezi-Mungu kupitia ile nafasi ya kupitia, hadi mwisho wake, upande wa magharibi, umbali wake ulikuwa pia mita 50.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akaipima Nyumba, urefu wake ulikuwa mikono mia, napo palipokatazwa watu na lile jengo na kuta zake pamoja urefu wao ulikuwa nao mikono mia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi akaipima nyumba, urefu wake dhiraa mia; na mahali pale palipotengeka na jengo lile, pamoja na kuta zake, urefu wake dhiraa mia;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yule mutu akapima upande wa inje wa hekalu nao ulikuwa na urefu wa metre makumi tano. Tokea nyuma ya nyumba ya Yawe kupitia ile nafasi ya kupitia, mpaka mwisho wake, upande wa magaribi, umbali wake ulikuwa vilevile metre makumi tano.