Ezekiel 41:14 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Urefu mbele ya hekalu tangu upande huu hadi upande huu ukichanganya na ile nafasi wazi, ulikuwa pia mita 50.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Upana wa ua wa Hekalu upande wa mashariki, pamoja na upande wa mbele wa Hekalu ulikuwa dhiraa mia moja.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
tena upana wa uso wa nyumba, na wa mahali palipotengeka upande wa mashariki, dhiraa mia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Urefu mbele ya hekalu tangu upande huu hadi upande huu ukichanganya na ile nafasi wazi, ulikuwa pia mita 50.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Upana wa ua wa Hekalu upande wa mashariki, pamoja na upande wa mbele wa Hekalu ulikuwa dhiraa mia moja.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Upana wa ua wa Hekalu upande wa mashariki, pamoja na upande wa mbele wa Hekalu ulikuwa dhiraa mia moja.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
tena upana wa uso wa nyumba, na wa mahali palipotengeka upande wa mashariki, dhiraa mia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Urefu mbele ya hekalu tangu upande huu hadi upande huu ukichanganya na ile nafasi wazi, ulikuwa pia mita 50.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao upande wa mbele wa Nyumba napo palipokatazwa watu upande wa maawioni kwa jua upana wao nao ulikuwa mikono mia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
tena upana wa uso wa nyumba, na wa mahali palipotengeka upande wa mashariki, dhiraa mia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Urefu mbele ya hekalu tangu upande huu mpaka upande huu ukichanganya na ile nafasi wazi, ulikuwa vilevile metre makumi tano.