Ezekiel 41:16 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
vyote vilipambwa kwa mbao tangu sakafuni hadi kwenye madirisha. Madirisha haya yangeweza kufunikwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
pamoja na vizingiti, madirisha membamba na vyumba vyote vitatu, kila kimoja pamoja na kizingiti vilifunikwa kwa mbao. Sakafu, ukuta hadi kwenye madirisha, na madirisha yenyewe vilifunikwa kwa mbao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na vizingiti, na madirisha yaliyofungwa, na baraza za pande zote za orofa zile tatu, zilizokikabili kizingiti, zilitiwa mabamba ya mti pande zote; na toka chini hata madirishani; (nayo madirisha yamefunikwa);
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
vyote vilipambwa kwa mbao tangu sakafuni hadi kwenye madirisha. Madirisha haya yangeweza kufunikwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
pamoja na vizingiti, madirisha membamba na vyumba vyote vitatu, kila kimoja pamoja na kizingiti vilifunikwa kwa mbao. Sakafu, ukuta mpaka kwenye madirisha na madirisha yenyewe vilifunikwa kwa mbao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
pamoja na vizingiti, madirisha membamba na vyumba vyote vitatu, kila kimoja pamoja na kizingiti vilifunikwa kwa mbao. Sakafu, ukuta mpaka kwenye madirisha na madirisha yenyewe vilifunikwa kwa mbao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na vizingiti, na madirisha yaliyofungwa, na baraza za pande zote za ghorofa zile tatu, zilizokikabili kizingiti, zilitiwa mabamba ya mti pande zote; na toka chini hadi madirishani; (nayo madirisha yamefunikwa);
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
vyote vilipambwa kwa mbao tangu sakafuni hadi kwenye madirisha. Madirisha haya yangeweza kufunikwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
navyo vizingiti vyao na madirisha yao yenye vyuma na baraza zao zilizozunguka katika madari yale matatu na kukielekea hicho kizingiti zilikuwa zimefunikwa po pote kwa mbao nyembamba chini, tena kando mpaka penye madirisha, napo penye madirisha kando palikuwa pamefunikwa hivyo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na vizingiti, na madirisha yaliyofungwa, na baraza za pande zote za orofa zile tatu, zilizokikabili kizingiti, zilitiwa mabamba ya mti pande zote; na toka chini hata madirishani; (nayo madirisha yamefunikwa);
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
vyote vilipambwa kwa mbao tangu kwenye sakafu mpaka kwenye madirisha. Madirisha haya yangeweza kufunikwa.