Ezekiel 41:17 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mpaka kwenye nafasi juu ya mlango hata kwenye chumba cha ndani na nje yake, pia juu ya kuta ndani ya chumba cha ndani na kwenye ukumbi palikuwapo na michoro iliyofanana na
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Katika nafasi iliyokuwa juu ya upande wa nje wa ingilio la mahali patakatifu, na katika kuta zilizozunguka mahali patakatifu na sehemu ya nje, kwa nafasi zilizo sawa,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na mpaka juu ya mlango hata nyumba ya ndani, na nje, na juu ya kuta zote pande zote, katika nyumba ya ndani, na ya nje,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mpaka kwenye nafasi juu ya mlango hata kwenye chumba cha ndani na nje yake, pia juu ya kuta ndani ya chumba cha ndani na kwenye ukumbi palikuwapo na michoro iliyofanana na
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Katika nafasi iliyokuwa juu upande wa nje wa ingilio la mahali Patakatifu pa ndani na juu ya kuta zilizozunguka Patakatifu pa ndani na Patakatifu pa nje kwa nafasi zilizo sawa
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Katika nafasi iliyokuwa juu ya upande wa nje wa ingilio la sehemu takatifu ya ndani, na katika kuta zilizozunguka sehemu takatifu ya ndani na sehemu takatifu ya nje, kwa nafasi zilizo sawa,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na mpaka juu ya mlango hata nyumba ya ndani, na nje, na juu ya kuta zote pande zote, katika nyumba ya ndani, na ya nje,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mpaka kwenye nafasi juu ya mlango hata kwenye chumba cha ndani na nje yake, pia juu ya kuta ndani ya chumba cha ndani na kwenye ukumbi palikuwapo na michoro iliyofanana na
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hapo juu penye mlango napo penye Nyumba upande wa ndani na wa nje katika kuta zote kuzunguka po pote ndani na nje palikuwa sawa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na mpaka juu ya mlango hata nyumba ya ndani, na nje, na juu ya kuta zote pande zote, katika nyumba ya ndani, na ya nje,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mpaka kwenye nafasi juu ya mulango hata kwenye chumba cha ndani na inje yake, vilevile juu ya kuta ndani ya chumba cha ndani na kwenye baraza kulikuwa michoro iliyofanana na