Ezekiel 41:18 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
mitende na picha za viumbe wenye mabawa. Kila baada ya mtende kulichorwa picha ya kiumbe chenye mabawa kukizunguka chumba chote. Kila kiumbe alikuwa na nyuso mbili:
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kulinakshiwa makerubi na mitende; mtende ulikuwa kati ya kerubi na kerubi. Kila kerubi alikuwa na nyuso mbili:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
kulipambwa kwa makerubi na mitende; mtende mmoja kati ya kerubi na kerubi, na kila kerubi lilikuwa na nyuso mbili;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
mitende na picha za viumbe wenye mabawa. Kila baada ya mtende kulichorwa picha ya kiumbe chenye mabawa kukizunguka chumba chote. Kila kiumbe alikuwa na nyuso mbili:
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kulinakshiwa makerubi na miti ya mitende. Miti ya mitende ilikuwa kati ya kerubi na kerubi. Kila kerubi alikuwa na nyuso mbili:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kulinakshiwa makerubi na miti ya mitende. Miti ya mitende ilikuwa kati ya kerubi na kerubi. Kila kerubi alikuwa na nyuso mbili:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
kulipambwa kwa makerubi na mitende; mtende mmoja kati ya kerubi na kerubi, na kila kerubi lilikuwa na nyuso mbili;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
mitende na picha za viumbe wenye mabawa. Kila baada ya mtende kulichorwa picha ya kiumbe chenye mabawa kukizunguka chumba chote. Kila kiumbe alikuwa na nyuso mbili:
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tena palikuwa pamechorwa Makerubi na mitende hivyo: katikati mtende, tena hapa Kerubi na hapo Kerubi, kila mwenye nyuso mbili:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
kulipambwa kwa makerubi na mitende; mtende mmoja kati ya kerubi na kerubi, na kila kerubi lilikuwa na nyuso mbili;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
miti ya gazi na picha za makerubi. Kisha kila muti wa ngazi kulichorwa picha ya kerubi kukizunguka chumba chote. Kila kerubi alikuwa na nyuso mbili: