Ezekiel 41:19 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Uso wa mwanadamu ulioelekea kwenye mtende upande mmoja na uso wa simba ulioelekea kwenye mtende wa upande mwingine. Hivyo ndivyo ilivyokuwa kwenye nyumba nzima,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
upande mmoja uso wa mwanadamu kuelekea mti wa mtende na upande mwingine uso wa simba ukielekea mti mwingine wa mtende. Ilinakshiwa kuzunguka Hekalu lote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
basi palikuwa na uso wa mwanadamu kuelekea mtende mmoja, na uso wa mwana-simba kuelekea mtende wa pili; ndivyo vilivyofanyika katika nyumba nzima pande zote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
uso wa mwanadamu ulioelekea kwenye mtende upande mmoja na uso wa simba ulioelekea kwenye mtende wa upande mwingine. Hivyo ndivyo ilivyokuwa kwenye nyumba nzima,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
upande mmoja uso wa mwanadamu kuelekea mti wa mtende na upande mwingine uso wa simba ukielekea mti mwingine wa mtende. Ilinakshiwa kuzunguka Hekalu lote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
upande mmoja uso wa mwanadamu kuelekea mti wa mtende na upande mwingine uso wa simba ukielekea mti mwingine wa mtende. Ilinakshiwa kuzunguka Hekalu lote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
basi palikuwa na uso wa mwanadamu kuelekea mtende mmoja, na uso wa mwanasimba kuelekea mtende wa pili; ndivyo vilivyofanyika katika nyumba nzima pande zote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Uso wa mwanadamu ulioelekea kwenye mtende upande mmoja na uso wa simba ulioelekea kwenye mtende wa upande mwingine. Hivyo ndivyo ilivyokuwa kwenye nyumba nzima,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
uso wa mtu uliuelekea mtende upande wa huku, nao uso wa simba uliuelekea mtende upande wa huko; yalikuwa yamechorwa hivyo penye Nyumba yote kuizunguka pande zote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
basi palikuwa na uso wa mwanadamu kuelekea mtende mmoja, na uso wa mwana-simba kuelekea mtende wa pili; ndivyo vilivyofanyika katika nyumba nzima pande zote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
uso wa mwanadamu ulioelekea kwenye muti wa ngazi upande mumoja na uso wa simba ulioelekea kwenye muti wa ngazi upande mwingine. Hivi ndivyo ilivyokuwa kwenye nyumba nzima,