Ezekiel 41:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
na upana wa mita 5. Nafasi hiyo ilikuwa na kuta kila upande zenye unene wa mita 2.5. Akaupima ukumbi wenyewe, nao ulikuwa na urefu wa mita 20 na upana mita 10.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ingilio lilikuwa la upana wa dhiraa kumi, na kuta zilizochomoza kila upande zilikuwa na upana wa dhiraa tano. Pia akapima ukumbi mkuu; ulikuwa na urefu wa dhiraa arobaini, na upana wa dhiraa ishirini.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na upana wa maingilio yake ulikuwa dhiraa kumi; na mbavu za maingilio zilikuwa dhiraa tano upande huu, na dhiraa tano upande huu; akaupima urefu wake, dhiraa arobaini, na upana wake, dhiraa ishirini.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
na upana wa mita 5. Nafasi hiyo ilikuwa na kuta kila upande zenye unene wa mita 2.5. Akaupima ukumbi wenyewe, nao ulikuwa na urefu wa mita 20 na upana mita 10.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ingilio lilikuwa la upana wa dhiraa kumi na kuta zilizojitokeza kila upande zilikuwa na upana wa dhiraa tano. Pia akapima sehemu ya nje ya patakatifu, nayo ilikuwa na urefu wa dhiraa arobaini na upana wa dhiraa ishirini.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ingilio lilikuwa la upana wa dhiraa kumi na kuta zilizojitokeza kila upande zilikuwa na upana wa dhiraa tano. Pia akapima sehemu ya nje ya patakatifu, nayo ilikuwa na urefu wa dhiraa arobaini na upana wa dhiraa ishirini.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na upana wa maingilio yake ulikuwa dhiraa kumi; na mbavu za maingilio zilikuwa dhiraa tano upande huu, na dhiraa tano upande huu; akaupima urefu wake, dhiraa arobaini, na upana wake, dhiraa ishirini.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
na upana wa mita 5. Nafasi hiyo ilikuwa na kuta kila upande zenye unene wa mita 2.5. Akaupima ukumbi wenyewe, nao ulikuwa na urefu wa mita 20 na upana mita 10.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
upana wa hapo pa kuingia ulikuwa mikono kumi napo hapo kando pa kuingia palikuwa mikono mitano upande wa huku na mikono mitano upande wa huko. Akaupima urefu wake, ulikuwa mikono arobaini, nao upana ulikuwa mikono ishirini.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na upana wa maingilio yake ulikuwa dhiraa kumi; na mbavu za maingilio zilikuwa dhiraa tano upande huu, na dhiraa tano upande huu; akaupima urefu wake, dhiraa arobaini, na upana wake, dhiraa ishirini.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
na upana wa metre tano. Nafasi hiyo ilikuwa na kuta kila upande zenye unene wa metre mbili na nusu. Akapima baraza lenyewe, nalo lilikuwa na urefu wa metre makumi mbili na upana metre kumi.